Kikosi cha Azam Veterans kabla ya mchezo wa Kombe la Azam Fresco dhidi ya Simba Veterans jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 3-2, mabao yake yakifungwa na Nahodha Abdulkafim Amin 'Popat' na Mussa Lumbi mawili, wakati ya Simba yalifungwa na Spear Mbwembwe na Masanja
Manahodha wa timu zote mbili katika picha ya pamoja na marefa
Wachezaji wa timu zote mbili kabla ya mchezo huo jana
Wachezaji wa akiba wa Azam Veterans wakiwa benchi jana
0 comments:
Post a Comment