Mhasibu Mkuu wa Hawaii Products Supplies, Said Khamis (kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti wa Mbao FC ya Mwanza, Solly Zephania Njashi (kulia) jezi ye nembo ya maziwa ya Cowbell yanayozalishwa na kampuni hiyo baada ya kusaini mkataba wa udhamini wa miezi sita kumalizia Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo mjini Dar es Salaam.
Njashi (katikati) akisaini mkataba huo pzmoja na Maofisa Hawaii Products Supplies, Said Khamis (kushoto) na Meneja Masoko, Erisalia Ndeta leo Dar es Salaam.
Hawaii imeahidi kuongeza mkataba mrefu na mnono iwapo Mbao FC itafanikiwa kubaki Ligi Kuu mwishoni mwa msimu
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment