Kipa bora Afrika, Denis Onyango wa klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini (kulia) akiwa na kipa bora wa Kombe la COSAFA, Said Mohamed Nduda wa Simba ya Tanzania leo mjini Johannesburg,. Nduda yupo na Simba Afrika Kusini kwa kambi ya maandalizi ya msimu mpya
Nduda (kulia) akiwa na wachezaji wenzake wa Simba wakizirura mitaa ya Jiji la Johannesbur

0 comments:
Post a Comment