MIYEYUSHO ULINGONI NA BAINA 'SIMBA' MAZOLA KINONDONI KESHO
Mabondia Baina 'Simba' Mazola (kushoto) na Francis Miyeyusho (kulia) wakichimbana mikwara wakati wa kupima uzito leo kwa ajili ya pambano lao lisilo la ubingwa uzito wa Feather kesho ukumbi wa New Vijana Social Hall, Kinondoni, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment