Mbunge wa Newala kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kapteni Mstaafu, George Huruma Mkuchika (kulia) ambaye pia ni Mwenyekiti Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya timu yake anayoipenda, Yanga SC dhidi ya Lipuli FC ya Iringa leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo wa leo ambao ulimalizika kwa sare ya 1-1
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
52 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment