Mshambuliaji chipukizi wa Manchester United, Marcus Rashford akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia bao la kwanza timu yake dakika ya 70 akimalizia krosi ya Henrikh Mkhitaryan katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Leicester City Uwanja wa Old Trafford. Bao la pili la United limefungwa na Marouane Fellaini dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
18 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment