NDEMLA NA HAJIB HUWEZI KUWATENGANISHA SABABU YA TIMU
Mshambuliaji Ibrahim Hajib (kulia) ameposti picha hii akiwa na kiungo Said Ndemla aliyekuwa naye Simba kabla ya kuhamia Yanga msimu huu. Wawili ni marafiki wa muda mrefu tangu wanacheza timu za watoto
0 comments:
Post a Comment