Wachezaji wa Liverpool wakimpongeza mwenzao, Sadio Mane baada ya kufunga bao la pili dakika ya 40 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Arsenal leo Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Roberto Firmino dakika ya 17, Mohamed 'Mo' Salah dakika ya 57 na Daniel Sturridge dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
19 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment