Bondia Mmarekani, Floyd Mayweather Jr. akimtandika ngumi ya kidevu Conor McGregor wa Ireland katika pambano la kuwania ubingwa wa WBC uzito wa Super Welter asubuhi hii ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas, Marekani. Mayweather ameshinda kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya 10 na kuweka rekodi ya kupigana mapambano 50 bila kupoteza. Mayweather alianza kwa kumsoma mpinzani wake na kumuachia atawale raundi tatu za mwanzo, lakini baada ya hapo akaanza kumchapa mfululizo hadi mwisho kama yuko mazoezini anapiga begi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
18 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment