Raheem Sterling akiifungia bao la ushindi Manchester City dakika ya 96 wakiwalaza 2-1 wenyeji, AFC Bournemouth Uwanja wa Vitality katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo kabla ya kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano. Bournemouth walitangulia kwa bao la Charlie Daniels dakika ya 13 kabla ya mshambuliaji Mbrazil, Gabriel Jesus kuisawazishia City dakika ya 21 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment