Mabondia Floyd Mayweather na Conor McGregor wakitambiana baada ya kupimwa uzito jana ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas, Marekani na wote kukutwa na kilogramu 69.8 kuelekea pambano lao la uzito wa Super-Welter usiku wa leo ukumbi wa MGM Grand Arena, ambalo kwa Afrika Mashariki tutalishuhudia asubuhi ya Jumapili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
51 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment