Mshambuliaji mpya, Alexis Sanchez (katikati) akipeana mikono na chipukizi Marcus Rashford (kulia) kabla ya kuanza kwa mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England dhidi ya wenyeji, Yeovil Town usiku wa Ijumaa Uwanja Huish Park mjini Yeovil, Somerset. Man United imeshinda 4-0, mabao yake yakifungwa na Rashford dakika ya 41, Ander Herrera dakika ya 61 wote pasi za Senchez, Jesse Lingard dakika ya 89 pasi ya Martin Darmian) na Romelu Lukaku dakika ya 90 na ushei, pasi ya Marcos Rojo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Bruno Fernandes and Iliman Ndiaye come to blows in fiery clash as Everton
hold Man United to 2-2 draw in Atlanta
-
The flashpoint occurred just before Everton's second equaliser. Fernandes
slid in from behind on Ndiaye near the halfway line, prompting an angry
reaction ...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment