Cristiano Ronaldo (kulia) akishangilia na wenzake kumpongeza Marcelo baada ya kuifungia Real Madrid bao la tatu dakika ya 84 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Valencia kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Mestalla. Ronaldo naye alifunga mabao mawili, yote kwa penalti dakika za 16 na 38 wakati bao la nne limefungwa na Toni Kroos dakika ya 89, huku la Valencia likifungwa na Santi Mina dakika ya 58 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Revealed: Why the AFL doesn't want you to know who this mystery man is
-
The top brass at AFL headquarters won't be impressed after the reason for
the man's presence at several games was revealed on TV on Monday night.
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment