Alexis Sanchez akipanda ndege na wachezaji wenzake wa Manchester United kwenda mjini Yeovil, Somerset kwa ajili ya mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England leo dhidi ya wenyeji, Yeovil Town Uwanja wa Huish Park. Huo utakuwa mchezo wa kwanza baada ya Sanchez kusajiliwa kutoka Arsenal kwa mshahara wa Pauni 600,000 mapema wiki hii PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
16 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment