Mjumbe wa Kamati ya Utandaji ya Simba, Muslah El Ruwaih (kushoto) akishuhudia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu yake na Maji Maji ya Songea leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-0
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Mohammed Nassor (kulia) akishuhudia timu yake leo
Wapenzi maarufu wa Simba wakishuhudia kwa utulivu burudani ya leo
Mwigizaji nyota Jacob Steven (kushoto) na mwandishi wa Habari, Somoe Ng'itu (kulia) wakifuatilia mchezo wa leo
World Cup winner Bern sets 'bigger, better, faster, stronger' goals
-
England and Bristol prop Sarah Bern on her aim to get "bigger, better,
faster, stronger" this season for the PWR club.
58 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment