Lionel Messi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la ushindi dakika ya 84 ikiwalaza Deportivo Alaves 2-1 katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Alaves ilitangulia kwa bao la John Guidetti dakika ya 23, kabla ya Luis Suarez kuisawazishia Barca dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
17 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment