Mchezaji mpya wa Arsenal, Henrikh Mkhitaryan akifanya mazoezi na wenzake kwa mara ya kwanza leo asubuhi kufuatia kukamilisha uhamisho wake wa kubadilishwa na Alexis Sanchez aliyehamia Manchester United. Nyota huyo wa Armenia amepewa jezi namba saba ambayo alikuwa anavaa Sanchez PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
57 minutes ago
0 comments:
Post a Comment