SAFARI YA MWISHO YA JUMANNE NTAMBI ALIYEKUWA KOCHA WA MWADUI
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Jumanne Ntambi, aliyekuwa kocha Msaidizi wa Mwadui FC ya Singida likifikishwa makaburini mjini Moshi leo tayari kwa mazishi yake. Ntambi alifariki Jumanne Mwadui kufuatia kuanguka bafuni wakati anaoga ingawa alikuwa akisumbuliwa na shinikizo la damu.
SGF, lawmaker back president’s second term
-
From Godwin Tsa, Abuja The Secretary to the Government of the Federation
(SGF) Senator George Akume, has called on the people state to support
President ...
0 comments:
Post a Comment