Beki wa kulia wa Tanzania, Hassan Kessy ameanza vyema katika klabu yake mpya, Nkana FC baada ya kuchaguliwa Mchezaji Bora wa Mechi (MOM) dhidi ya Kabwe Warriors Jumapili. 93 minna mashabiki wa klabu hiyo na kupewa zawadi ya dola za KImarekani 1,00, zaidi ya Sh. 200,000 za Tanzania. Nkana imeshinda 2-0.
Monday, August 20, 2018
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment