Mshambuliaji wa Manchester United, Alexis Sanchez akipongezwa na mchezaji mwenzake, Matteo Darmian baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 18 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Real Madrid kwenye mchezo wa kirafiki wa Mabingwa wa Kimataifa kujiandaa na msimu Uwanja wa Hard Rock mjini Miami Gardens, Florida, Marekani. Bao la pili la United lilifungwa na Ander Herrera dakika ya 27, wakati bao la Real Madrid limefungwa na Karim Benzema dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Where to watch Dallas Wings vs. Indiana Fever: Live stream, start time, TV
channel for Saturday, May 9
-
Caitlin Clark and the Fever open the season against the Wings.
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment