AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
Kiungo wa Azam FC, Mzimbabwe Never Tigere (kulia) akimiliki mpira pembeni ya beki Mgahana wa Azam FC, Yakubu Mohamed kwenye mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
Wachezaji wa Azam FC wakifurahia kwenye mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu
Mshambuliaji wa Azam FC, Richard Ella D'jordi akifanya vitu vyake kwenye mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu
Kiungo wa Azam FC, Frank Raymond Domayo akimiliki mpira kwenye mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu
Wachezaji wa Azam FC wakijifua kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu
Item Reviewed: AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment