
Wachezaji wa Barcelona, beki Mfaransa Eric Abidal (kushoto), Waargentina Javier Mascherano na Lionel Messi na Mchile Alexis Sanchez wakishangilia wa 3-1 dhidi ya Bayer Leverkusen kwenye Uwanja wa BayArena jana usiku katika hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa. Mabao ya Barca yalifungwa na Alexis Sanchez mawili na Lionel Messi moja wakati la Lverkursen lilifungwa na Michal Kadlec.


.png)
0 comments:
Post a Comment