• HABARI MPYA

    Sunday, September 01, 2013

    ARSENAL YANG'ARA ENGLAND, GIROUD AWAZIMA SPURS EMIRATES

    IMEWEKWA SEPTEMBA 1, 2013 SAA 2:05 USIKU
    ARSENAL imewazima wapinzani wa London Kaskazini, Tottenham Hotspur kwa mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Enlgand jioni hii kwenye Uwanja wa Emirates.
    Bao pekee la Arsenal inayofundishwa na Mfaransa, Arsene Wener limefungwa na Olivier Giroud dakika ya 22.London boy: Olivier Giroud scores and celebrates the opening goal of the game at the Emirates
    Kijana wa London: Olivier Giroud ameifungia bao pekee Asrenal leo Emirates
    London boy: Olivier Giroud scores and celebrates the opening goal of the game at the Emirates
    Olivier Giroud akishanilia baada ya kufunga

    Arsene Wenger amekuwa akishambuliwa kwa ubakhili katika suala la usajili majira haya joto, wakati Andre Villas Boas na timu yake, Tottenham wametumia mamilioni kusajili wakijiandaa kumuuza Gareth Bale.
    Kikosi cha Arsenal kilikuwa: Szczesny, Jenkinson, Koscielny, Mertesacker, Gibbs, Ramsey, Wilshere/Flamini dk43, Rosicky/Monreal dk78, Walcott/Sagna dk90, Cazorla na Giroud.
    Tottenham: Lloris, Walker, Dawson, Verthongen, Rose, Capoue/Sandro dk74, Paulinho, Dembele/Defoe dk68, Townsend/Lamela dk74, Chadli na Soldado.
    Dangerous: Andros Townsend looked lively in the first half
    Hatari: Andros Townsend (kushoto) alitamba kipindi cha kwanza
    Worry: Mathieu Flamini replaces Jack Wilshere after the latter went off with stomach cramps
    Wasiwasi: Mathieu Flamini alichukua naafasi ya Jack Wilshere 
    Olivier Giroud alivyofuna bao tamu Emirates, angalia zaidi yaliyojiri uwanjani leo kwa kugonga hapa 
    Giroud goal
    Some viewing: David Beckham was in the stands, with son and Arsenal fan Romeo
    Jamaa alikuwepo: David Beckham akiwa jukwaani na wanawe na shabiki wa Arsenal, Romeo
    Commanding: Andre Villas Boas tries to rally his troops
    Anawaka: Andre Villas Boas akizungumza na wachezaji wake
    Phsyical: Etienne Capoue sticks up a high boot on Giroud
    Shughuli: Etienne Capoue (kushoto) akirusha buti mbele ya Giroud
    Frustrating: Daniel Levy (left) and Franco Baldini have had fine summers in the transfer market, but they couldn't influence on the pitch
    Amepagawa: Daniel Levy (kushoto) na Franco Baldini amekuwa na wakati mzuri katika dirisha la usajili, lakini bado haijaanza kulipa uwanjani
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: ARSENAL YANG'ARA ENGLAND, GIROUD AWAZIMA SPURS EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top