• HABARI MPYA

    Sunday, September 01, 2013

    STURRIDGE AITEKETEZA MAN UNITED ANFIELD...LIVERPOOL DUME LA SHETANI

    IMEWEKWA SEPTEMBA 1, 2013 SAA 11:48 JIONI
    BAO pekee la Daniel Sturridge limeipa Liverpool ushindi wa tatu mfululizo katika Ligi Kuu ya England, baada ya kuwalaza wapinzani wao wa jadi, Manchester United 1-0 jioni hii Uwanja wa Anfield.
    Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24 alikuwa katika sehemu mwafaka na kwa wakati mwafaka wakati anaunganishia nyavuni mpira wa kona dakika ya nne.
    Hilo lilikuwa bao la tatu kwa Sturridge katika msimu huu na linaipa ushindi wa tatu mfululizo wa 1-0 timu ya Brendan Rodgers kuendeleza redeki ya ushindi asilimia 100 katika mbio za ubingwa.
    Philippe Coutinho wa Liverpool alikuwa mchezaji bora wa mechi hiyo.
    Kikosi cha Liverpool kilikuwa: Mignolet; Johnson/Wisdom dk78, Agger, Skrtel, Enrique, Henderson, Lucas, Gerrard, Aspas/Sterling dk60, Sturridge na Coutinho/Alberto dk84. 
    Man United: De Gea, Jones/Valencia dk37, Ferdinand, Vidic, Evra, Carrick, Cleverley/Young/Nani dk62, Welbeck, Giggs/Hernandez dk75 na Van Persie. 
    Liverpool's Daniel Sturridge
    Tatu: Liverpool imepata ushindi wa tatu mfululizo katika Ligi Kuu ya England, baada ya kuifunga Manchester United 1-0 Anfield
    Flying start: Daniel Sturridge gave Liverpool the lead with a header in the fourth minute
    Ameanza na moto: Daniel Sturridge ameipa Liverpool ushindi kwa bao pekee dakika ya nne
    Right place: Sturridge flicked home Daniel Agger's header from two yards
    Sehemu mwafaka: Sturridge akiunanisha pasi ya Daniel Agger
    On form: Sturridge has scored in all four of Liverpool's matches this season
    Yuko moto: Sturridge ameifungia Liverpool katika mechi zote tatu msimu huu
    Embrace: Sturridge hugs manager Brendan Rodgers after giving Liverpool the lead
    Shangwe: Sturridge akimkumbatia kocha wake Brendan Rodgers baada ya kufungaStunning: Liverpool fans at the Kop End made a stunning mosaic in honour of Bill Shankly before kick-off
    Imependeza: Mashabiki wa Liverpool katika Kop End wakitoa heshima kwa Bill Shankly kabla ya mechi
    Birthday: Players and fans took part in a minute's applause for Shankly a day before he would have turned 100
    Kuzaliwa: Wachezaji na mashabiki walitumia dakika moja kwa ajili ya Shankly kabla ya mechi
    Fiesty: Steven Gerrard and Robin van Persie share their thoughts with each other
    Mkwara: Steven Gerrard na Robin van Persie wakichimbiana mikwara
    Physical: Martin Skrtel, who replaced the injured Kolo Toure, rises high to win a header
    Kazi: Martin Skrtel, aliyechukua nafasi ya majeruhi Kolo Toure, akiruka juu kupiga mpira kichwa
    Effort: Gerrard attempts a shot on goal from a free-kick, which was saved by David de Gea
    Jatibio: Gerrard akipiga shuti la mpira wa adhabu ambalo liliokolewa na kipa David de Gea
    Fall: Danny Welbeck takes a tumble after pressure from Lucas and Iago Aspas
    Rafu: Danny Welbeck akienda chini baada ya kuchezewa rafu na Lucas na Iago Aspas
    Spectator: England manager Roy Hodgson was in the stands for the clash at Anfield
    Alikuwepo: Kocha wa England, Roy Hodgson alikuwapo jukwaani Anfield kushuhudia mechi hiyo
    Sidelined: Liverpool's suspended striker watches the action at Anfield on Sunday
    Jukwaani: Mshambuliaji wa Liverpool, Luis Suarez anayetumikia adhabu alikuwepo uwanjani leo
    In the dugout: Liverpool manager Rodgers (right) and Manchester United boss David Moyes
    Makocha: Kocha wa Liverpool, Rodgers (kulia) na wa Manchester United, David Moyes wakiwa kazini
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: STURRIDGE AITEKETEZA MAN UNITED ANFIELD...LIVERPOOL DUME LA SHETANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top