• HABARI MPYA

    Sunday, December 01, 2013

    CHELSEA YAWACHAPA SOUTHAMPTON 3-1

    Chelsea imeifunga 3-1 Southampton Uwanja wa Stamford Bridge, London katika Ligi Kuu ya England, mabao ya  Gary Cahil dakika ya 55, John Terry dakika ya 62 na Demba Ba dakika ya 90, wakati bao pekee la wapinzani limefungwa na Rodriguez dakika ya kwanza. Pichani ni Terry akishangilia baio lake.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YAWACHAPA SOUTHAMPTON 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top