Mchezaji wa Victory University ya Uganda akiwatoka wachezaji wa Mbeya City katika mchezo wa Robo Fainali ya michuano ya Nile Basin jana mjini Khartoum, Sudan. Victory ilishinda 1-0 na kuungana na Al Shandy iliyoshinda 3-0 pia jana dhidi ya Malakia ya Sudan Kusini kutinga Nusu Fainali. Timu nyingine zilizotinga Nusu Fainali ni Academie Tchite ya Burundi na AFC Leopards ya Kenya. |
0 comments:
Post a Comment