FIFA imethibitisha Fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2022 nchini Qatar itachezwa Jumapili ya Desemba 18.
Kombe la Dunia litafikia kilele chake wiki moja kabla ya Krisimasi - uamuzi ambao utaruhusu utamaduni wa mechi za Boxing Day kuendelea kwa kuchewa siku hiyo.
Rais wa UEFA, Michel Platini amesema uamuzi huo umekubaliwa - lakini ameionya FIFA kwamba lazima ilinde tarehe za mechi za kimataifa ambao unaweza kuvurugwa.
FIFA jana imethibitisha Fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2022 nchini Qatar itafanyika Desemba 18
0 comments:
Post a Comment