• HABARI MPYA

    Friday, March 20, 2015

    HAJJI SUNDAY MANARA 'ZUNGU' ALIPOANZA KAZI RASMI SIMBA SC LEO

    Katibu wa Simba SC, Stephen Ally (kushoto) leo amemtambulisha rasmi Msemaji mpya wa klabu hiyo, Hajji Sunday Manara 'Zungu' (kulia) katika Mkutano na Waandishi wa Habari, makao makuu ya klabu, Mtaa wa Msimbazi, Dar es Salaam. Hajji aliteuliwa wiki iliyopita kuwa Msemaji wa klabu hiyo. Hajji ni mtoto wa kiungo wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Sunday Manara 'Computer' aliyewika klabu ya Yanga SC ya Dar es Salaam. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAJJI SUNDAY MANARA 'ZUNGU' ALIPOANZA KAZI RASMI SIMBA SC LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top