Wachezaji wa Barcelona na familia zao wakifurahia na faimlia zao taji la Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey baada ya kuifunga Sevilla 2-0 katika mhezo wa fainali uliodumu kwa dakika 120 kufuatia dakika 90 kumalizika timu hizo zikiwa hazijafungana usiku wa kuamkia leo kwenye Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid, Hispania. Mabao ya Barca Jordi Alba dakika ya 97 na Neymar dakika ya 120 na ushei. Katika mchezo uliokuwa mkali na wa kusisimua, Javier Mascherano wa Barcelona alitolewa kadi nyekundu dakika ya 36 kwa kumchezea rafu Kevin Gameiro akiwa anakwenda kufunga na Ever Banega wa Sevilla pia alitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 90 na ushei kwa kumchezea rafu Neymar PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The final year of The Hundred as we know it?
-
The fifth edition of The Hundred will begin with big-name additions - but
private investment means there could be major changes in 2026.
39 minutes ago
0 comments:
Post a Comment