Mshambuliaji kinda wa Manchester United, Marcus Rashford akikimbia kushangilia baada ya kuifungia England bao dakika ya tatu akiichezea mara ya kwanza timu ya taifa ya wakubwa katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Australia kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa Light, Sunderland. Bao lingine la England limefungwa na Nahodha Wayne Rooney dakika ya 55, wakati la wageni limefungwa na nyota wa Tottenham, Eric Dier aliyemfunga kipa wake, Fraser Forster dakika ya 75 katika harakati za kuokoa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Man City can't just rely on Haaland - Guardiola
-
Manchester City boss Pep Guardiola says his side can't just rely on
"key-man" Erling Haaland after he scored twice in five second-half minutes
to beat Ever...
9 minutes ago
0 comments:
Post a Comment