DIDA ALIVYOGOMBEWA 'KAMA MPIRA WA KONA' JUZI UWANJA WA NDEGE
Kipa wa Yanga, Deo Munishi 'Dida' akipambana kuwachomoka mashabiki wa timu hiyo baada ya timu kuwasili juzi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam, ambako iliitoa Sagarada Esperanca na kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika
0 comments:
Post a Comment