Kinda Cameron Borthwick-Jackson akisaini Mkataba wa miaka minne kuendelea kuichezea Manchester United hadi mwaka 2020 kufuatia mwanzo mzuri msimu huu baada ya kupandishwa kutoka timu ya vijana. Makinda wengine waliosainishwa ni pamoja na Marcus Rashford hadi mwaka 2020 pia, wakilipwa Pauni 25,000 kwa wiki kutoka Pauni 1,500 kwa wiki na wote wanasaini siku mbili baada ya Mreno, Jose Mourinho kutangazwa kuwa kocha mpya wa klabu hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The final year of The Hundred as we know it?
-
The fifth edition of The Hundred will begin with big-name additions - but
private investment means there could be major changes in 2026.
42 minutes ago
0 comments:
Post a Comment