KAPTENI CHINA AKIPOKEA NDOO YA LIGI KUU KUTOKA KWA MZEE WARIOBA 1987
Nahodha wa Yanga, Athumani Abdallah Mchabwa ‘Athumani China’ (kushoto) akipokea kikombe cha ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara kutoka Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais, Jaji Joseph Warioba mwaka 1987
0 comments:
Post a Comment