Wachezaji wa Sevilla wakitembeza Kombe lao la Europa League kuwaonyesha mashabiki wao jana baada ya kutwaa taji hilo wakiifunga Liverpool 3-1 katika fainali wiki iliyopita. Maandamano hayo yalikuja siku moja baada ya kufungwa 2-1 na Barcelona katika fainali ya Kombe la Mfalme ndani ya dakika 120 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
19 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment