Kipa wa Cameroon, Fabrice Ondoa akiruka bila mafanikio kuokoa mchomo wa Dimitri Payet wa Ufaransa katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa Nantes, Ufaransa. Ufaransa ilishinda 3-2, mabao yake yakifungwa na Matuidi dakika ya 20, Giroud dakika ya 41 na Payet dakika ya 90, wakati ya Cameroon yalifungwa na Aboubakar dakika ya 22 na Choupo-Moting dakika ya 87 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
15 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment