Gwiji wa Uholanzi, Edgar Davids akimtoka Paddy McGuinness wa timu ya Magwiji wa England akiiichezea timu ya Magwiji wa Dunia katika mchezo maalum wa Soccer Aid Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester jana. England ilishinda 3-2, mabao yake yakifungwa na Mark Wright na Jermain Defoe mawili, wakati ya magwiji wa dunia yalifungwa na Dimitar Berbatov katika mchezo ambao Mtangazaji wa Televisheni, Ben Shepherd alitolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
World Club Challenge returns with Hull KR v Broncos
-
The World Club Challenge will return to being played when Super League
champions Hull KR host NRL title holders Brisbane Broncos in February next
year.
33 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment