Mshambuliaji Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia mabao yote mawili dakika za 57 na 61 Ufaransa ikishinda 2-1 dhidi ya Jamhuri ya Ireland katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Euro 2016 jioni ya leo Uwanja wa Parc Olympique Lyonnais mjini Decines-Charpieu. Ireland ilitangulia kwa bao la Robbie Brady dakika ya pili tu ya mchezo na Ufaransa inakwenda Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
16 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment