JEZI ZA AZAM 'BWERERE' SABA SABA, KAJIKAMATIE FASTA!
Mteja akiwa ndani ya duka la Azam FC viwanja vya Saba Saba, Dar es Salaam kwa ajili ya kununua bidhaa za klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo. Azam FC wamefungua duka la kuuza vifaa vyao kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa, Saba Saba, barabara ya Kilwa, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment