Kipa wa Yanga, Deo Munishi 'Dida' akifanya mazoezi ya kukuza misuli katika gym mjini Antalya, Uturuki ambako klabu yake imeweka kambi kujiandaa na mchezo wa pili wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika Jumanne ijayo dhidi ya TP Mazembe ya DRC Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment