Winga wa Wales, Gareth Bale akimtoka beki wa Ireland ya Kaskazini katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Euro 2016 leo Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Ufaransa. Wales imeshinda 1-0 na kwenda Robo Fainali, bao pekee la Gareth McAuley dakika ya 15 akimalizia krosi ya Gareth Bale PICHA ZAIDI GONGA HAPA
India beat South Africa for historic first World Cup win
-
Shafali Verma scores 87 and Deepti Sharma takes five wickets as India make
history, beating South Africa by 52 runs for their first World Cup title in
Navi...
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment