Beki Jerome Boateng akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Ujerumani bao la kwanza katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Slovakia kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora ya Euro 2016 usiku leo Uwanja wa Stade Pierre-Mauroy mjini Villeneuve d'Ascq, Ufaransa. Mabao mengine ya Ujerumani yamefungwa na Mario Gomez na Julian Draxler wakati Mesut ozil alikosa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
23 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment