Lionel Messi akimchambua kipa wa Eibar kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 50 katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Manispaa ya Ipura. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Denis Suarez dakika ya 31, Luis Suarez dakika ya 68 na Neymar Junior dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Bobby Cox, legendary Braves manager, dead at 84
-
Cox won 2,504 games a manager for both the Braves and Blue Jays.
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment