Mama wa msanii wa Bongo Fleva, Chiddy Benz (kushoto) akimuonyesha Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba tuzo ambazo msanii huyo alitwaa kabla ya kuathirika na dawa za kulevya. Waziri Mwigulu alimtembelea mama yake Chiddy Benz jana kwa lengo la kumtaka kumsaidia kijana huyo arejee kwenye hali yake ya kawaida
Hii ndiyo hali ya Chiddy Benz kwa sasa
Chiddy Benz ameathirika na dawa za kulevya 'vibaya mno'


0 comments:
Post a Comment