Mshambuliaji Mghana wa Azam FC, Yahya Mohammed akimtoka beki wa Lipuli katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Samora, Iringa. Azam ilishinda 4-0
Chpukizi wa Azam FC, Yahya Zayed akiwatoka mabeki wa Lipuli jana
Mshambuliaji mpya aliyesajiliwa kutoka Toto Africans, Waziri Junior akimtoka beki wa Lipuli
Beki wa Azam, David Mwantika akiwania mpira dhidi ya mchezaji wa Lipuli
Kikosi cha Azam FC kilichoanza jana Uwanja wa Samora




0 comments:
Post a Comment