Kiungo wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Niyonzima (wa pili kulia) akiwa na wachezaji wa Tanzania anaocheza nao Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kipa Said Mohammed Nduda (kulia), beki Hassan Kessy na winga Simon Msuva kushoto kwake baada ya kukutana mjini Kigali, Rwanda Jumamosi, timu za taifa za nchi hizo zilimenyana na kutoa sare ya 0-0.
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
36 minutes ago
0 comments:
Post a Comment