SINGANO ATOKEA BENCHI TIMU YAKE YACHAPWA 3-0 MOROCCO
Winga wa kimataifa wa Tanzania, Ramadhani Singano 'Messi' (kushoto) juzi alitokea benchi kuichezea timu yake mpya, Difaa Hassan El Jadida ya Morocco ikifungwa 3-0 nyumbani na Olympic Club de Safi (OCS) katika mchezo wa kirafiki
Kikosi kilichoanza hapa Messi aliyejiunga na timu hiyo kutoka Azam FC ya Dar es Salaam hayupo
0 comments:
Post a Comment