Mshambuliaji mpya wa Manchester United, Romelu Lukaku aliyesajiliwa kwa dau la Pauni Milioni 75 kutoka Everton akisaini jezi ya shabiki wa timu hiyo baada ya kuwasili mjini Manchester leo wakitokea Marekani ambako walikwenda kuweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya pamoja na kucheza mechi za kujipima nguvu za mashindano ya Kombe la Mabingwa wa Kimataifa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
18 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment