MSUVA ALIVYOFANYIWA VIPIMO VYA AFYA KABLA YA KUSAINI MKATABA MNONO
Winga wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva akifanyiwa vipimo vya afya jana nchini Morocco kabla ya kusiani mkataba wa kujiunga na klabu ya Difaa Hassani El-Jadida ya Ligi Kuu ya nchi hiyo
0 comments:
Post a Comment