Mshambuliaji Anthony Mwingira aliyehitimu wa Shahada ya Uhasibu katika chuo cha TIA mjini Mbeya, akisaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Mbeya City jana mjini humo
Kiungo Idd Suleiman aliyewahi kuchezea Ashanti United ya Dar es Salaam akisaini mkataba wa miaka kujiunga na Mbeya City mjini humo jana

0 comments:
Post a Comment