Winga wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva (kushoto) akipongezwa na wenzake wa Difaa Hassan El- Jadida baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-1 jana dhidi ya Mouloudia Club of Oujda Uwanja wa El Abdi mjini Jadida.
Simon Msuva aliyesajiliwa Difaa Hassan El-Jadida wiki iliyopita kutoka Yanga ya Tanzania akiambaa na mpira kwenye mchezo huo
Simon Msuva akipiga mahesabu wakati wa mchezo huo


0 comments:
Post a Comment